Charlie chaplin grandchildren
Charlie chaplin spouse!
Charlie Chaplin
Charlie Chaplin | |
---|---|
Amezaliwa | Charles Spencer Chaplin (1889-04-16)16 Aprili 1889 London, Uingereza |
Amekufa | 25 Desemba 1977 (umri 88) Corsier-sur-Vevey, Uswizi |
Kazi yake | Mwigizaji |
Miaka ya kazi | 1899–1975 |
Ndoa | Mildred Harris (1918-1920) Lita Grey (1924-1927) Paulette Goddard (1936-1942) Oona O'Neill (1943-hadi kufa kwake) |
Watoto | 11 |
[charliechaplin.com Tovuti rasmi] |
Charlie Chaplin (16 Aprili1889 – 25 Desemba1977) alikuwa mwigizaji na mtayarishaji filamu maarufu wa Kiingereza.
Alikuwa maarufu sana katika kucheza filamu za kimya za vichekesho. Aliigiza, aliongoza, alizipanga scripti na kuziongoza filamu zote zilizokuwa zinamhusu.
Charlie chaplin real name
Charlie Chaplin alikuwa akifanya kazi hizo takribani kwa miaka 70, alianza akiwa na umri wa miaka mitano, na mpaka ilipofika miaka 80. Sehemu husika alizokuwa akicheza Charlie Chaplin mara nyingi iliitwa "the Tramp".
Tramp alikuwa mtu mwenye heshima zake, ambaye amevaa koti, suruali lik